Maelezo ya Swali
Je, msichana anaweza kuangalia eneo kati ya goti na kitovu cha mama yake mzazi? Na je, mama anaweza kumwangalia msichana kwa njia hiyo hiyo? Na vipi kwa dada na dada?
Jibu
Ndugu yetu mpendwa,
Mama na binti hawawezi kuangalia sehemu ya mwili iliyo kati ya kitovu na goti la mwenzake.
Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi:
Ni vipi uchi wa wanawake kwa wanawake wenzao?
Salamu na dua…
Uislamu kwa njia ya maswali