Maelezo ya Swali
–
Ninachomaanisha ni sadaka nyinginezo isipokuwa zaka na fitra.
Jibu
Ndugu yetu mpendwa,
Matajiri hawawezi kupewa sadaka, wanaweza kupewa zawadi.
Salamu na dua…
Uislamu kwa njia ya maswali